Nyota mbalimbali wa mchezo wa soka hapa nchini waliotamba zamani na wa sasa, jana walifurika kwa wingi kumsindikiza gwiji mwenzao wa soka mlinda mlango nambari moja miaka ya 90 Peter Manyika aliyezikwa jana katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Picha zote ni kwa hisani ya Lubigisa Lubigisa beki wa zamani wa Simba SC.


























