Klabu ya Al ahly Tripoli Ya Libya Imevunja mkataba na mshambuliaji wake Raia wa Angola Mabululu(33).
Mchezaji huyo alietumika hapo Kwa msimu Mmoja na nusu kutokea Petro Athletico de Luanda ya nchini kwao Angola Sasa ni free agent.
Dilisha la Usajili la Tanzania litafungwa Leo Tar31/1/2025. Muda nadhani unatunyima kuona jambo kubwa kwenye dilisha hili.
