Diva The Boss wa Wasafi Media ajiunga EFM

Aliyekuwa mtangazaji wa redio na televisheni ya Wasafi Media, Diva The Boss amejiunga na redio ya EFM.

Hivi karibuni kumekuwa na hama hama ya watangazaji maarufu wa Wasafi Media, Diva The Boss naye alikuwa miongoni mwao lakini tayari EFM wameshaingia naye kandarasi.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI