Wekundu ndani ya Bamako, Mali

Wachezaji wa kikosi cha Simba SC tayari wameshawasili mjini Bamako nchini Mali kwa ajili ya mchezo wa pili wa Ligi ya mabingwa Afrika mwishoni mwa wiki hii.

Pichani ni baadhi ya wachezaji wakitua Bamako.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI