Nassoro Idrissa amgaragaza Hosea na kuwa bosi wa Ligi Kuu


Nassoro Idrissa ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi ya Tanzania baada ya Kumshinda Hosea Lugano kwa Kura 7 kwa 6

Nassoro Idrissa ni Rais wa Azam FC, kabla ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, alikuwa akikaimu nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Almas Kasongp.

Nassoro Idrissa

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI