Mchezaji wa Wydad Athletic Club Stephanie Aziz Ki siku ya Jana alipata jeraha lililompelekea kuhusu maumivu makali ya kichwa na kufabya awahishwe hospital Kwa ajili ya matibabu ya dharula.
Idara ya matabibu wa Wydad Athletic Club imetoa taarifa kuwa mchezaji huyo bado anaendelea kupatiwa matibabu Zanzibar.
