Nyota Yanga aikacha nchi yake ya asili

Mshambuliaji mpya wa Young Africans SC Celestine Ecua ameamua kuichagua Nchi ya Chad ambayo ni nchi yake ya pili kuitumikia kwenye timu ya taifa akiikacha Ivory Coast, 

Sababu kubwa ya Ecua kuichagua Chad  ili apate nafasi ya kucheza mara Kwa mara sababu kikosi cha Ivory Coast kimesheheni mastaa wanaokipiga Ulaya
.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI