Lidya Okoth amalizana na Yanga Princess


Klabu ya Yanga Princess imetambulisha kiungo mshambuliaji Lidya Akoth raia wa Kenya kuwa mchezaji wao kutokea klabu ya Kenya Police Bullets.

Msimu uliopita katika raundi ya pili Lidya aliitumikia klabu ya Yanga Princess kwa mkopo wa miezi sita kutokea klabu ya Kenya Police Bullets.

Sasa ni rasmi Lidya Akoth ni mali ya Yanga Princess kwa mkataba wa miaka miwili.

Attacking mid ya Yanga Princess ;
1. Lidya Akoth
2. Precious Christopher
3. Adebis Ameerat
4. Riticia Nabbosa (ambaye pia anaweza kutumika kama namba 6).

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI