Kipa Azam FC atimkia Al Hilal Omduman
#DEAL_DONE ✅✅
Golikipa wa timu ya taifa wha Sudan πΈπ©, Mohamed Mustafa amejiunga na Klabu ya Al Hilal ya Sudan πΈπ© kwa Mkataba wa Miaka mitatu mpaka 2028.
.
Mustafa amejiunga na Al Hilal baada ya kuachana na klabu ya Azam FC aliyokuwa akiitumikia.