Jesus Moloko atimkia Rwanda

Winga wa zamani wa Yanga SC,  Jesus Moloko amejiunga na Klabu ya AS Kigali kwa mkataba wa Mwaka mmoja.

Moloko alikuwa kwenye kiwango bora alipokuwa katika klabu ya Yanga SC akiwa sambamba na mshambuliaji Fiston Mayele ambaye sasa yupo Pyramids.

Akiwa Yanga, Moloko aliisaidia kutwaa ubingwa wa bara misimu mitatu aliyokaa.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI