Vifaa vipya vyamiminika Simba

Kiungo Mshambuliaji Mohamed Bajaber amewasili nchini Tanzania kwaajili ya kujiunga na klabu ya Simba SC akitokea Kenya Police FC

Mohamed Bajaber atasaini documents zote baada ya makubaliano binafsi na Simba SC kukamilika na Simba SC kumalizana na Kenya Police FC


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI