Valentino Mashaka atua Mbeya City

Mshambuliaji Valentino Mashaka amejiunga na klabu ya Mbeya City FC akitokea klabu ya Simba SC

Valentino Mashaka amejiunga na Mbeya City kwa mkataba wa mwaka mmoja wa mkopo.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI