Tshabalala kocha mpya Sporting Club
Aliyekuwa kocha wa wanawake wa Mamelodi Sundowns Jerry Tshabalala ndiye kocha mkuu mpya wa Sporting Club Casablanca.
Casablanca wanaoshiriki ligi kuu ya wanawake nchini Morocco na walimaliza wa pili katika Ligi ya Mabingwa ya CAF ya Wanawake 2023 baada ya kushindwa na Sundowns ya Tshabalala.
