Rushine De Reuch ni Mwekundu wa Msimbazi

Rasmi klabu ya Simba imekamilisha usajili wa mlinzi wa zamani wa klabu ya Mamelodi Sundowns Rushine De Rueck kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Nyota huyo kabla ya kutua nchini alikuwa anaitumikia klabu ya Maccabi Petah ya nchini Israel kwa mkopo akitokea Mamelodi Sundowns.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI