Kinda wa Ngorongoro Heroes ajiunga KMC FC ya Maximo

Mchezaji na Mlinzi wa Kati wa timu ya taifa ya vijana (U-20) Ngorongoro Heroes, Ibrahim Nindi amejiunga na KMC FC akitokea Mashujaa FC ya Kigoma.

Ibrahim Nindi aliwahi kupita kwenye timu za vijana za Simba Sports Club.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI