Azam FC yakubali kumwachia Feitoto aende Simba

Afisa habari wa klabu ya Azam Fc Zakharia Zaka zakazi amesema “ Kama Feisal Salum Feitoto mwenyewe atazungumza kuwa hayupo tayri kuendelea na sisi hatuna shida tutamuacha afuate Mkataba unavyosema huku na sisi tukiendelea na mipango mengine….

Lakini hatuwezi kuja hadharani na kuwaambia yeye Mwenyewe Mchezaji atawaambia nini cha kufanya ili aweze kuununua Mkataba wake .


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI