Yanga yampa thank you Aziz Ki

Klabu ya Wydad Casablanca imethibitisha kumsajili kiungo mshambuliaji, Stephanie Aziz Ki kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Young Africans ya Tanzania akiungana na wachezaji wengine waliosajiliwa na klabu hiyo kama Nordin Amrabat na Hamza Hanouri.

Katika hatua nyingine Young Africans Sc imethibitisha kuwa nyota huyo raia wa Burkina Faso kuondoka klabuni hapo baada ya kutoa ‘Thank You’ kwa kinara huyo wa magoli kwenye Ligi Kuu bara msimu uliopita.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI