Yanga yaifanyia ubaya ubwela Simba


Taarifa nyepesi nyepesi Yanga SC ipo kwenye mchakato wa kufanya ubaya ubwela tena pale Simba SC,

Baada ya goli kipa Camara kugombana na Ngoma, na hata vyumbani baada ya mechi Camara hakuonesha kuwa na ushirikiano na wenzake mzuri,

Uongozi wa Yanga SC tayari umefanya mazungumzo na menejimenti ya mchezaji Camara jana usiku,

Ili kuangalia uwezekano wa kumsajili goli kipa huyo ndani ya Yanga SC kuelekea msimu ujao,

Yanga SC wanasubiria jibu kamili la menejimenti ya goli kipa Camara,

Pia inaelezwa Camara ni shabiki mkubwa sana wa timu ya wananchi Yanga SC

Hawa ndio Yanga SC, baada ya Chama Jr sasa ni zamu ya goli kipa Camara.