Yanga yaibomoa ASEC Mimosas

Young Africans Spots Club kutoka Tanzania wanavutiwa na kocha Julien Chevalier raia wa Ufaransa Kwa sasa, Chevalier ni kocha wa ASEC Mimosas.

Inasemekana mabingwa hao wa Tanzania bara wanataka kumchukua Mwalimu huyo Ili kuchukua nafasi ya Hamdi Miloud


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI