Ujenzi wa uwanja Simba waanza Bunju

Kampuni ya Jayruthy ambao ni wadhamini wa jezi wa klabu ya Simba SC, tayari wameanza utekelezaji wa ujenzi wa timu ya Simba maneno ya Bunju B jijini Dar es Salaam.

"Suala la uwanja kwa Simba sasa sio stori tena, tayari tumempa Mkandarasi miaka mitano ambapo uwanja utajengwa pale MO Arena, Bunju na utekelezaji tayari umeanza huku tukitarajia kuwa na Mashabiki zaidi ya 20,000”

Zubeda Sakuru, CEO wa Simba SC


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI