Timu 5 Ligi Kuu bara zatishia kugomea mpaka Bodi ya Ligi itoe maelezo juu ya waamuzi kuboronga

Timu tano za ligi kuu zimetishia kugomea na kutocheza mechi mbili za mwisho za NBC Premier League,mpaka pale Bodi ya ligi watakapotoa majibu ya kueleweka kutokana na matukio ya waamuzi yanayo endelea.

Tayari baadhi ya timu zimeandika barua kwenda bodi ya ligi ili kupewa majibu ya kina.

Hali inazidi kuwa mbaya kwenye ligi yetu


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI