Stars ya kushiriki COSAFA hadharani

Kikosi cha Taifa Stars kitakachoingia kambini Juni 2,2025 kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya Afrika Kusini (Bafana Bafana) na mashindano ya COSAFA dhidi ya Eswatini na Madagascar.

Katika kikosi hicho majina mapya ni Yacouba Seleman na Wilson Nangu wote wa JKT Tanzania ambao wametokea kufanya vizuri katika siku za karibuni


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI