Simba kung' oa kiungo Fountain Gate

Baada ya kutoridhishwa na kiwango cha nyota Augustine Okejepha (21) inaelezwa Simba wameingia katika vita ya kuinasa saini ya nyota wa Fountain Gate Daniel Joram ambaye pia anawindwa na kikosi cha JKT Tanzania.

Inaelezwa kocha Fadlu Davids alivutiwa na kiwango cha Joram hasa katika mchezo uliowakutanisha Simba na Fountain Gate na kumalizika kwa sare ya 1-1.



Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI