Klabu ya Yanga SC awali waliweka million mia 800 ambazo walitaka kulipa Kwa awamu mbili ya kwanza mia 400 alafu wamalize 400 msimu mwingine , mwamba FEI TOTO akakataa akashinikiza pesa ilipwe yote Kwa pamoja.
Klabu ya Simba wao fedha Yao waliweka mezani yote na mkataba kabisa wa FEI TOTO, Kiungo huyo hakuridhika na ofa ya Simba anaomba wajipange vizuri na warudi tena.
Awali Klabu ya Kaizer chiefs walituma maomba ya kumwitaji Nyota huyo katika Klabu yake ya AzamFC lakini ofa Yao ilikuwa chini na AzamFC walitaka billion kadha ilikumwachia Kiungo huyo.
Tarifa mpya Tena zinaripo kuwa tayari Kocha wa zamani wa Yanga ambae aliwahi kufanya kazi na Fei Salum Nabi ametua Tanzania kuzungumza na Kiungo huyo ili afanya nae kazi msimu ujao katika ligi kuu South Africa.
Kuna vita Kubwa sana kuhusu uhamisho wa Kiungo FEI Salimu msimu huu na vita Kubwa inachezwa nje Yani viongozi wa Vilabu hivi vya Simba na Yanga yule mwenye kisu kikari Ndie atanufaika , tuendelee kusubiria