Manula kimeeleweka Yanga

Taarifa za kuaminika kutoka kwenye vyanzo vyetu vya habari kwamba mlinda mlango wa Simba SC Aishi Manula anaelekea kujiunga na watani zao Yanga SC kwenye dirisha kubwa lijalo.

Manula ingawa anahusishwa kurejea Azam FC, lakini si kweli-, Yanga wameingia kwenye rada ya Manula na tayari kipa huyo amekubali kutua Yanga kufungana na swahiba zake Jonas Mkude na Clatous Chama.

Manula atasaini mkataba wa miaka miwili, ingawa taarifa hazielezi mshahara wake na signing fee.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI