Mamelodi Sundown's yamrejesha straika wake wa Ethiopia

Klabu ya Mamelodi Sundowns Imrejesha Mshambuliaji wake Raia wa Ethiopia Aboubaker Nassir Ahmed aliyekuwa kwa mkopo katika klab ya SuperSport United.

Aboubaker Nassir Ahmed ataungana na kikosi cha Mamelodi Sundowns kitakachoshiriki mashindano ya kombe la dunia kwa upande wa vilabu ( FIFA Club World Cup ) Mwezi ujao.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI