Joshua Mutale arudishwa Chipolopolo

Kiungo Joshua Mutale amerejea kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Zambia baada ya kutokuwepo kwa kipindi kirefu.

Mutale atakuwa sehemu ya kikosi cha timu ya taifa ya Zambia kitakachocheza mechi mbili za kirafiki za Kalenda ya FIFA dhidi ya Tunisia na Sudan.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI