Huyu jamaa Frank Assinki amepiga kazi sana amewapika sana washambuliaji wa Simba vya kutosha! Kuna beki mzuri sana ndani yake.
Ule utulivu na zile decision making ni za kiwango cha juu sana! Katika mita 20 za mwisho za Singida Black Stars alivuja jasho vya kutosha kwa kila nyasi! Best best defender.
Alikuwa na game nzuri sana yaani alikuwa anahesabu tu wanaokuja kushambulia )
Yani dira yangu imenasa kwake, amenipa nafasi ya kumtazama zaidi katika game zijazo hasa hasa next season.. Singida Black Stars wamepata faida sana kumiliki beki wa kati wa namna hii! Football yake nzuri sana.