CR7 kuwavaa Real Madrid

Cristiano Ronaldo yuko na ofa mbili mezani kwa sasa moja ni kuongeza mkataba wa kubakia Al Nassr au Kukubali ofa ya Kujiunga na Al Hilal FC ili kupata nafasi ya Kucheza Kombe la Dunia la Vilabu

Kama atakubali ofa ya Kujiunga na Al Hilal FC basi mchezo wake wa kwanza ni dhidi ya Real Madrid..


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI