Aziz Ki, Mwalimu wapiga zoezi la mwisho kabla kuivaa FC Porto

Kiungo Mshambuliaji, Stephanie Aziz Ki pamoja na Mshambuliaji, Seleman Mwalimu wakiwa kwenye mazoezi ya mwisho ya Wydad Casablanca kabla ya kuikabili FC Porto hapo kesho.

Aziz Ki atakuwa sehemu ya mchezo huo baada ya kuikosa Sevilla Mei 27.




Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI