Anaandika Hans Raphael


Heri Sasii kaimaliza mechi kwa mikono yake mwenyewe

Amefanya maamuzi manne makubwa ya hovyo ambayo yamezalisha matokeo ya 1-0.

1. Chamou Karaboue Alistahili kadi ya njano na Singida kupata panalty baada ya madhambi kufanyika ndani ya Box la Simba.

2. Kelvin Nashon alistahili kadi ya pili ya njano kabla ya kipindi cha kwanza kumalizika.

3. Singida walistahili penalty nyingine baada ya Che Malon kumvuta Sowah kwenye Box.

4. Singida walistahili penalty ya tatu baada ya Rupia kuchezewa vibaya na Hamza kwenye Box.

Matukio makubwa manne yamezalisha matokeo ya 1-0 Singida kanyongwa mchana kweupe.

Guys tuna miaka mingi sana mbeleni kumpata bingwa nje ya Kariakoo


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI