Yanga kumtema Kennedy Musonda


Klabu ya Young Africans imempa taarifa Mshambuliaji Kennedy Musonda (30) kuwa haitaendelea nae baada ya msimu huu kumalizika na mchezaji amepokea taarifa hiyo

Menejimenti ya Kennedy Musonda inafanya mazungumzo na Al Ittihad ya Libya na Power Dynamos ili ajiunge nayo, Menejimenti ya mchezaji huyo inamtafutia klabu mojawapo katika klabu hizi mbili

Mchakato wa kumtafutia timu Kennedy Musonda unaendelea kwa Menejimenti ya Kennedy Musonda baada ya kumalizana na Young Africans kwa kila kitu.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI