Yanga kuachana na Sportpesa

Klabu ya Yanga ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha makubaliano na mdhamini mpya wa klabu hiyo atayekaa kifuani kwenye Jezi zao kwa fedha itayoweka rekodi nchini.

Taarifa zinaeleza kuwa Sportpesa hatokaa tena kifuani, atakaa mgongoni mwa Jezi kumpisha mdhamini mkuu mpya.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI