Wallace Karia aongoza warsha ya FIFA, UEFA NA CAF

Rais wa TFF, Wallace Karia ameongoza ujumbe wa Tanzania kwenye Warsha ya FIFA inayohusisha Nchi Wanachama wa UEFA na CAF inayofanyika Vienna, Austria.

Nchi zinazohudhuria kwenye Warsha hiyo ya kuimarisha maendeleo ya soka duniani ni Finland, Moldova, Wales, Austria, Georgia kutoka UEFA na Gabon, Morocco, Senegal, Tanzania na Cameroon kutoka CAF


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI