Valentine Nouma aomba kuondoka Simba

Taarifa kutoka chanzo cha kuaminika sana kuhusu mlinzi wa kushoto wa Simba SC Valentine Nouma raia wa Burkina Faso ameuomba uongozi wa Simba kumuacha huru mwishoni mwa msimu huu.

Huku taarifa zikieleza kwamba sababu za kuondoka kwa nyota huyo ni kukosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza ndani ya timu ya Simba ambapo nafasi yake ndiyo anayocheza Mohamed Hussein Tshabalala


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI