Uwanja wa Uhuru zamani Taifa nao kufungwa taa

Uwanja wa Uhuru (zamani Taifa au shamba la bibi) uliopo jijini Dar es Salaam unaendelea kuboreshwa ili uwe uwanja wa kisasa wenye hadhi ya kutumika mashindano makubwa ya kimataifa.

Vile vile uwanja huo utaongezewa jukwaa, utawekewa viti vipya, utawekewa taa za kisasa na maboresho mengine yatakuwa sehemu ya kubadiliahia nguo pamoja na sehemu ya vyoo.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI