Simba ruksa kuutumia uwanja wa Mkapa fainali

Simba SC imehakikishiwa kuutumia uwanja wa Benjamini Mkapa, kwenye mchezo wa Mkondo wa pili wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika 2024/25 dhidi ya RS Berkane ya Morocco.

Simba atacheza mechi ya kwanza Morocco May 17, kisha mchezo wa marejeano Dar es salamaa, May 25,2025.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI