RS Berkane yaitupa nje CS Constantine, sasa kuumana na Simba fainali

Klabu ya RS Berkane kutoka Morocco imefanikiwa kafuzu hatua ya Fainali ya CAF Confederation Cup kwa kuiondosha Klabu ya Cs Constantine ya Algeria kwa matokeo ya jumla ya Magoli 4-1

Rs Berkane itakutana na Simba SC ya Tanzania kwenye hatua ya Fainali ambapo Fainali ya kwanza itachezwa Morocco na Fainali ya pili itachezwa Tanzania.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Kocha Simba anataka wachezaji wapya watano

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI