Rasmi, Olympique de Marseille ya Ufaransa yajitosa mazima kwa Mzize


Klabu ya Olympique de Marseille kutoka Ufaransa inamfatilia Mshambuliaji Clement Mzize (21) wa Young Africans ili kupata saini yake katika dirisha kubwa la usajili

Marseille imetenga ofa USD 1.8m (Tshs 5 bilioni) ili kupata huduma ya mchezaji huyo ambaye amekuwa na kiwango bora sana katika klabu ya Young Africans kwa misimu miwili mfululizo

Marseille it has put the number of three players to register one in the next transfer window including the name of Clement Mzize.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI