Pongezi za Rais Samia na mashabiki wao zinawatosha- Mangungu

Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu amesema hawahitaji pongezi toka kwa taasisi yoyote nchini zaidi ya pongezi za Rais Samia na mashabiki wao zinawatosha.

"Inabidi Simba SC tueleweke vizuri , hatuhitaji pongezi za kiongozi wa taasisi wa timu nyingine kuja kutupongeza sisi kuingia fainali Shirikisho Afrika "

" Pongezi za Mh Rais na Mashabiki wetu wa Simba SC zinatosha sana kwetu viongozi katika kesi hii ".

- Murtaza Mangungu, Mwenyekiti wa klabu ya Simba SC akiongea baada ya kuwasili Tanzania.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI