Pacome Zouzoua aipa taadhali Yanga imuuze fasta


Taarifa kutoka kwenye chanzo changu Cha kuaminika zinadai Paccome Zouzoua ana offer ya Al Ahly hivyo amewaambia Yanga wachukue hela sasa hivi au ataondoka Bure msimu ujao maana hataongeza Mkataba mpya.

Al Ahly SC imetuma Ofa ya 1.5Bilioni za Kitanzania kwenda Yanga ili kupata huduma ya mchezaji wao nyota Pacôme Zouzoua.

Pacôme Zouzoua Amekubali kujiunga na Al Ahly SC atakuwa akilipwa 126 Milioni za Kitanzania.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI