Fadlu azitosa ofa mbili za Orlando na Raja kisa Simba

Kocha mkuu wa timu ya soka ya Simba Sports Club.Fadlu David's amepiga chini ofa mbili mezani kwake.

Moja Raja Casablanca kutoka nchini Morocco.pamoja na timu ya soka ya Orlando Pirates kutoka Afrika Kusini.

Fadlu akiwaambia kwamba yeye hawezi kuondoka katika timu ya soka ya Simba Sports Club kabla ya mkataba wake kuisha.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI