Kocha mkuu wa timu ya soka ya Simba Sports Club Fadlu David's amewaambia vijana (wachezaji ) . kwamba hatakiĺ kusikia sherehe aina yoyote baada ya timu hiyo kutinga fainali ya Shirikisho Afrika.
Fadlu David's amewaambia wachezaji wake kwamba.kama ni sherehe basi ziishie kwenye nyumba vya kubadilishia nguo tu.(dressing room)
Baada ya kutoka (dressing room )kwenye vyumba vya kubadilishia nguo.moja kwa moja waanze maadalizi ya mchezo RS Berkane May 17 nchini Morocco.