Fadlu achukizwa kufungwa na RSB Berkane mwaka 2022 akiwa na Orlando

Kocha mkuu wa Simba SC Fadlu David's amesema kufungwa na RSB Berkane katika fainali ya CAF Confederation Cup mwaka 2022 akiwa Orlando Pirates bado inamuuma hadi leo hiii.

Tuliwatoa Simba Robo fainali tukawaangusha Al Ahli Tripoli nusu fainali lakini tukapoteza fainali dhidi ya RS Berkane Hivyo akikumbuka tukio hili anaumia sana....

Davids anasema ana iheshimu sana RS Berkane kutokana na ubora wake lakini wakati huu anataka kulipa kisasi akiwa na kikosi cha Simba SC, baada ya kupoteza taji la Shirikisho Afrika dhidi ya RSB Berkane akiwa na Orlando Pirates mwaka 2022."

Fadlu David's: Kocha mkuu wa Simba


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI