Duke Abuye naye kutimka Yanga

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Mkenya "Duke Abuya"ambaye mkataba wake unakwishwa mwishoni mwa msimu huu amepokea ofa kutoka nchini Algeria klabu ya JS Kabylie.

Hadi sasa hakuna mazungumzo yoyote kati ya menejimenti ya Mchezaji na Uongozi wa Yanga kuhusu mkataba mpya.Duke Abuya alisajiliwa msimu huu 2024-2025 Kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea Singida Big Star.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI