Maxi Nzengeli kusalia Jangwani


Maxi Nzengeli ataongeza mkataba wa miaka miwili ya kuendelea kubaki Ndani ya Yanga SC.

Uongozi wa YANGA SC umeanza mazungumzo rasmi na timu AS Maniema Union ili kukamilisha dili hilo

Japo kiongozi wa timu ya AS Maniema Union Jenerali Kumba amesema mahusiano mazuri kati ya Yanga na timu hiyo ni makubwa hivyo uhakika wa mchezaji huyu kubaki jangwani ni mkubwa



#ngindoupdates || #ngindomedia

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI