Kingwendu aomba anunuliwe gari na Diamond Platinumz


Msanii mkongwe wa Filamu Nchini Tanzania Kingwendu amemuomba Msanii Diamond Platnumz amnunulie Gari kwa sababu anapata changamoto sana ya Kiusafiri

Kingwendu amesema alipojiingiza kwenye siasa alipata madeni makubwa, hali iliyopelekea kutetereka kiuchumi na kuuza magari yake yote

Kingwendu amesema anaishi mbali "Nzasa" na huwa anatumia gharama kubwa ya Usafiri anapotaka kwenda katika kazi zake hivyo Diamond amsaidie Amnunulie hata Gari Aina ya IST.
Diamond Platnumz