WCB Visiwani Zanzibar kwenye Tuzo za Trace

Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Nassib Abdul 'Diamond Platnumz' akiwa ameambatana na Timu yake, walifika kufanya majaribio ya sauti kuelekea usiku wa Tuzo za Trace Awards ambapo kwa mara ya kwanza zilifanyika Zanzibar katika Hoteli ya The Mora Hotel , jana Februari 26, 2025, kuanzia saa 3 kamili usiku.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI