Tabora United yailaza Dodoma Jiji
Timu ya Tabora United ya mkoani Tabora imeutumia vema uwanja wake wa Ali Hassan Mwinyi baada ya kuifunga Dodoma Jiji bao 1-0 mchezo wa Ligi Kuu bara.
Goli lililowapa ushindi Tabora United limefungwa na Offen Chikola.
