Sowah, Rupia watupia, Singida Black Stars ikiifunga Mashujaa 3-0

Wenyeji Singida Black Stars leo imeendeleza wimbi la ushindi baada ya kuichabanga Mashujaa FC mabao 3-0.

Mabao ya Singida Black Stars yamefungwa na washambuliaji, Mghana Jonathan Sowah mawili, dakika ya 57 kwa penalti na dakika ya 60, wakati lingine limefungwa na Mkenya Elvis Rupia dakika ya 90.

Goli la Rupia limenifanya afikishe mabao 9 na kuendeleza harakati zake za kuibuka mfungaji bora


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI